Książki po angielsku · odkrywaj nowe historie

Obsługa klienta: kontakt@bookbuy.pl

Znajdź książkę po tytule, autorze lub numerze ISBN.

Okładka książki

Książka po angielsku

MTEGO WA KAFARA

Sado Faraji

Opis książki

"Je, vurugu za tarehe 29 Oktoba 2025 zilikuwa ni sauti ya wanyonge au operesheni ya kijasusi iliyopangwa?"Katika kitabu cha ""Mtego wa Kafara,"" mwandishi Sado Faraji anavua kinyago cha kile kilichodhaniwa kuwa maandamano ya kawaida ya vijana. Hiki ni kitabu kinachochimba chini ya uso wa habari, kikifichua mtandao mpana wa hujuma za kimataifa zilizolenga kuisambaratisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kupitia uchambuzi wa kina wa kiuchumi, kijasusi, na kiteknolojia, kitabu hiki kinaweka hadharani: "Vita vya Kidijitali (Cyber Warfare):" Jinsi teknolojia, 'bots', na algorithms zilivyotumiwa kuchezea akili za vijana (Gen Z) na kuwafanya wawachukie walinzi wa nchi yao wenyewe kupitia mfumo wa '67% Disinformation'. "Siri ya Madini na Ndege za F-35:" Uhusiano wa kutisha kati ya machafuko ya kisiasa na vita ya kuwania madini ya Rare Earths kule Ngualla-rasilimali muhimu kwa majeshi ya Magharibi. "Mtego wa Starlink:" Ukweli kuhusu jaribio la kuingiza intaneti ya setilaiti kama 'njia ya nyuma' (backdoor) ya mawasiliano ya kijasusi ili kukwepa udhibiti wa serikali. "Gharama ya Uasi:" Takwimu zilizothibitishwa na Benki Kuu ya Tanzania zinazoonyesha hasara ya Trilioni 1.02 iliyopatikana kutokana na kuharibiwa kwa ofisi 756 za serikali na vituo vya polisi.Huu si mkusanyiko wa matukio ya kihistoria tu; ni ""miwani ya kijasusi"" kwa kila mzalendo. "Mtego wa Kafara" ni onyo na fundisho kuhusu mbinu mpya za Regime Change zinazotumia simu za mkononi badala ya vifaru.Soma kitabu hiki ili uelewe jinsi ya kuilinda akili yako na nchi yako kabla haujageuzwa kuwa kafara wa maslahi ya mataifa ya nje.

ISBN-13
9798232767532
Język
Angielski
Waga
190 g
Oprawa
Miękka
Wydawnictwo
Sado Faraji
Liczba stron
170
Rok wydania
2026
Kategoria
Nieprzypisana

Przewidywana wysyłka: do 12 dni roboczych

Zwykle wysyłamy wcześniej.

Wszystkie podane terminy wysyłki liczymy w dniach roboczych.
Cena brutto 143,64 zł
Zadaj pytanie o książkę Wróć do katalogu

Poznaj twórczość autora

Inne książki tego samego autora

12 książek

Odkryj kolejną lekturę

Podobne książki

0 książek

Kolejne propozycje pojawią się wraz z aktualizacją katalogu.